Na Greyson Mwase, Dodoma
Jana tarehe 14
Agosti, 2018 ujumbe kutoka CRDB
ukiongozwa na Mkurugenzi wake Dk. Charles Kimei ulifanya ziara katika Ofisi za
Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma lengo likiwa ni kufahamu majukumu na shughuli za Tume.
Mkurugenzi Mtendaji wa
CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia)
akifafanua jambo kwenye kikao kilichoshirikisha ujumbe wake na Katibu Mtendaji
wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya
|
No comments:
Post a Comment