Thursday, August 9, 2018

Tume ya Madini yatoa elimu kwa viongozi, maafisa waandamizi

Meneja wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Tume ya Madini, Miriam Mbaga akielezea Muundo na Majukumu ya Tume ikiwa ni pamoja na taratibu za uwasilishaji wa taarifa Makao ya Tume, Wizara ya Madini na Mamlaka/Taasisi nyingine kwa viongozi na maafisa waandamizi wanaotarajiwa kufanya kazi kwenye tume tarehe 09 Agosti, 2018 mjini Morogoro.

Sehemu ya washiriki wakifuatilia ufafanuzi uliokuwa unatolewa na Meneja wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Tume ya Madini, Miriam Mbaga (hayupo pichani).

Kutoka kulia,  Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira kutoka Tume ya Madini, Dk. Abdulrahaman Mwanga, Afisa Madini kutoka Tume ya Madini, Mhandisi Heri Gombera na  Afisa Madini Mkazi – Moshi, Fatuma Kyando wakifuatilia mada mbalimbali katika mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment