Na Asteria
Muhozya
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Prof. Shukrani Manya na
Afisa kutoka Wizara ya Madini Mhandisi Siri Boga wanaiwakilisha Tanzania
katika Mkutano wa Kimberley Process unaofanyika mjini Antwerp, nchini
Ubeligiji,
Mkutano huo huhudhuriwa na wanachama wa Umoja wa Kimberley
Process ambao unahusisha mataifa ya Kiraia, Serikali na kampuni
zinazojishughulisha na uzalishaji na watumiaji wa madini ya almasi.
Mkutano huo umefanyika kuanzia tarehe 18-22 Juni 2018.
No comments:
Post a Comment