Monday, March 19, 2018

Maandalizi ya uzinduzi wa ukuta Mirerani yaanza


Na Asteria Muhozya,

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Zephania Chaula leo ameonkao cha Maandalizi ya Uzinduzi wa Ukuta kuzunguka machimbo ya Madini ya Tanzanite, Mirerani Mkoani Manyara.

Wengine waliohudhuria kikao hicho ni ujumbe kutoka Wizara ya Madini ukiongozwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Issa Nchasi, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Manyara na Wilaya ya Simanjiro na
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Wakati akiwasilisha taarifa ya ujenzi wa ukuta, Naibu Kamanda wa Operesheni ya ujenzi wa ukuta huo, Luteni Kanali Rashidi Kanole wa, ujenzi umekamilika kwa asilimia 99.87  na kuongeza kuwa, ukuta uko salama kwa zaidi ya asilimia 90.





No comments:

Post a Comment