Na Greyson Mwase
Leo
tarehe 02 Agosti, 2018 Kamati ya Ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini
(Local Content) imekutana jijini Dodoma kwa ajili ya kupitia mipango ya
ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini iliyowasilishwa na kampuni za
uchimbaji wa madini nchini zilizoomba leseni za madini.
Kikao
kwa ajili ya upitiaji wa mipango ya ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini
iliyowasilishwa na kampuni za uchimbaji wa madini nchini zilizoomba leseni za
madini kikiendelea.
|
Katibu
Mtendaji – Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kulia) akieleza jambo kwenye
kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk. Athanas Macheyeki.
|
No comments:
Post a Comment