Na Asteria
Muhozya,
Waziri Biteko
anachukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Madini Angellah Kairuki ambaye
ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia
Uwekezaji.
![]() |
Aliyekuwa
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Magufuli kuwa Waziri wa Madini, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam.
![]() |
Aliyekuwa
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko akikabidhiwa vitendea kazi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
![]() |
Aliyekuwa
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko akikabidhiwa vitendea kazi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
No comments:
Post a Comment